Msaada ku unlock Huawei Ascend Y200 itumie laini zingine

Msaada ku unlock Huawei Ascend Y200 itumie laini zingine

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
2,827
Reaction score
1,858
Nimenunua simu aina ya Huawei model no. U8655-1 toka Tigo. Haikubali laini nyingine zaidi ya Tigo. Internet ya tigo iko low na hawana 3G ambayo simu ina support. Nawezaje ku kupata unlock code ya Tigo? IMEI ya simu ni 861895014154711. Tafadhali wadau!
 
Msaada tafadhali.
 
Pole Mkuu, nami ni tatizo kama la kwako. Naona watu wachoyo na maujuzi yao
 
ebana kaka hiyo haina solution ya kuunlock for free ni had ununue code online kuna fundi yuko dar alinisaidia kununua hzo codes, "SIM network unlock PIN" ni sh. 20,000 na usije kuingiza codes usizozijua mana simu itajiblock mazima na kuandika "UNLOCK SIM Block", hii itakufanya utoe sh elf 40 ili kununua hizo codes mbili hvyo itakuwa hasara zaidi...nitapost namba ya huyo fundi hapa ili umchek, anakutumia codes kwanza...simu ikishafunguka ndio unamlipa
 
Wakuu nashukuru sana kwa msaada na ushauri wenu. Pia FUJISTU nashukuru kwa namba ya fundi nitawasiliana naye lakini kuna jamaa kaniambia kuwa ukienda Vodacom ofisini wanakufungulia. Nijaribu kwenda huko jumatatu nione kama watanisaidia. Wakishindwa ndio nimpigie huyo fundi. Asante sana wadau
 
Last edited by a moderator:

kama uliinunua tigo voda hawawez kukusaidia kaka...hata mimi sasa hv natumia same phone, trust me thr is no othr way zaidi ya kununua hizo codes,,,nt anyway nenda ukajaribu.
 
Last edited by a moderator:
Hoyo!....nami natumia Huawei U8650 kama vipi nitumie basi hizo codes nifungue!
 
Nimenunua simu aina ya Huawei model no. U8655-1 toka Tigo. Haikubali laini nyingine zaidi ya Tigo. Internet ya tigo iko low na hawana 3G ambayo simu ina support. Nawezaje ku kupata unlock code ya Tigo? IMEI ya simu ni 861895014154711. Tafadhali wadau!

Kufungua yako Huawei ya kupaa y200, matumizi ya kufungua code. Unaweza kupata kutoka kwa mchuuzi yeyote online kama SuperUnlockCodes.com kwa kufungua hiyo.
 
Kufungua yako Huawei ya kupaa y200, matumizi ya kufungua code. Unaweza kupata kutoka kwa mchuuzi yeyote online kama SuperUnlockCodes.com kwa kufungua hiyo.

kuunlock either utumie dc unlock au sigma key tati= lazma la dc unlocker lazma uwe na credit na sigma key ni box asije akudanganya mtu ukajalifu kuflash au kuchange radio file utafuta imei na haitosoma tena line yoyote mpaka urepair na kwa box watu wengi wanalalamika after flashing cm yake network haisomi so be careful
 
Back
Top Bottom