Simeone JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 1,170 Reaction score 1,356 Oct 26, 2018 #1 Habari zenu wana jf, nahitaji mtu anayeweza ku submit website free basics Yaani ku submit kama vile ana submit website yake mi nimejaribu lakini nimeshindwa kabisa sasa naomba msaada.
Habari zenu wana jf, nahitaji mtu anayeweza ku submit website free basics Yaani ku submit kama vile ana submit website yake mi nimejaribu lakini nimeshindwa kabisa sasa naomba msaada.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,681 Oct 26, 2018 #2 wanakuja
thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,867 Reaction score 4,859 Oct 26, 2018 #3 Kuna details na hatua zote za kufuata kupitia Comment effectuer une soumission - Free Basics - Documentation - Facebook for Developers Freebasics sio rafiki kwa javascript hivyo angalia namna ya kutatua hilo Kwa kuwa freebasics haisapoti javascript kama unategemea ads kama sehemu ya kipato basi freebasics haifai. Ni hayo tu.
Kuna details na hatua zote za kufuata kupitia Comment effectuer une soumission - Free Basics - Documentation - Facebook for Developers Freebasics sio rafiki kwa javascript hivyo angalia namna ya kutatua hilo Kwa kuwa freebasics haisapoti javascript kama unategemea ads kama sehemu ya kipato basi freebasics haifai. Ni hayo tu.