'Msaada Ku-install Java wakuu'

'nimesha-download wakuu kupitia offline installer na nime-install tayari ila kwenye ku-verify inaleta msg hii hapa wakuu...

We are unable to verify if Java is currently installed and enabled in your browser.

If you have installed Java and there is an error with the verification,there could be a configuration issue (e.g browser,Java control panel,security settings). Try restarting your browser before trying to verify the installation again...

hiyo ndio msg nnayopokea wakuu...'
 
unatumia browser gani?

Process ya verification inayofanyika kwenye browser kabla ya ku-run itakuomba ruhusa kufanya hivyo. Inabidi uiruhusu ifanye mambo yake.

Mfano huu:

Ikishindikana jaribu ku-restart browser yako au pc kuona kama tatizo limeisha.....
 
'natumia firefox mkuu...'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…