Hakikisha umedownload kutoka Download Free Java Software . Pia inawezekena labda antivirus yako ikawa ina-interupt installation so jaribu pia kui-disable kwa muda.
Fatma Bawazir safe mode haitamsaidia kwa sababu Windows Installer Service haiwezi ku-run kwenye safe mode.
Una uhakika na unachokisema?
hii java kazi yake ni nini mkuu??Hakikisha umedownload kutoka Download Free Java Software . Pia inawezekena labda antivirus yako ikawa ina-interupt installation so jaribu pia kui-disable kwa muda.
Fatma Bawazir safe mode haitamsaidia kwa sababu Windows Installer Service haiwezi ku-run kwenye safe mode.
Kipi? nimesema viwili hapo.
Hakikisha umedownload kutoka Download Free Java Software . Pia inawezekena labda antivirus yako ikawa ina-interupt installation so jaribu pia kui-disable kwa muda.
Fatma Bawazir safe mode haitamsaidia kwa sababu Windows Installer Service haiwezi ku-run kwenye safe mode.
hii java kazi yake ni nini mkuu??
'nime-download kutokea filehorse.com na machine haina anti-virus ndo nahitaji kuweka soon...'
Download kupitia website ya Java: Download Free Java Software
Nina uhakika kwa 100% huwezi kufanya installation kama hiyo installer inategemea Service ya Windows Installer.Kuhusu installation wakati pc ikiwa kwenye safe mode.