Msaada ku-insatll Office2007

Msaada ku-insatll Office2007

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
431
Reaction score
61
Habari za jioni wanajamii,
Naombeni msaada wenu wa ki-IT.
Nina computer hapa ilizingua windows,nikaweka windows nyingine ya widows 7 prof. nimeinstall hadi mwisho.Ishu imeanza nilipotaka kuinstall office 2007,imegoma,inasema language ya hiyo software hai-match na sysytem nim-conduct system admin.
Tatizo linaweza kuwa nini na what will be the way forward?
shukrani nyingi kwenu
 
mkuu watumiaji wanapendelea 07,lakini sijaelewa kwa nini inagoma kuinstal manake hata 2003 nimejaribu na inakubali
 
Install user as administrator

Right click kweny setup( exe) file ya office 2007
Then chagua run as administrator
 
Back
Top Bottom