Nilikuwa katika kujaribu kuweka passcode kwa chanel ili vijana wawe na limit ya kuangalia baadhi ya chanel nimejikuta nimesahau hizo code. Je nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo.??
huo ni uzembe mkubwa, utasahau vipi passcode? Siku nyingine kama unajiona ni msahalifu na una mambo mengi usiige-ige kuweka nenosiri!