kusoma sana ni upotevu wa mda na maarifa kwa hizi nchi zetu za kiafrica.
Hebu angalia degree yako ya kwanza hujaitendea haki kiasi kwamba hujijui wewe mwenyewe ukasome kozi ipi shahada ya uzamili,
mkuu tafuta pesa achana na kusoma soma karne hii utapoteza pesa na utakufa maskini,...
Pambana utoboe hiyo elimu yako inatosha kabisa