Tayari ninachokitu cha kufnya ili niishi i mean kipato ila nataman nijue zaidiKiufupi kama unasoma ili uje kupata ajira umepotea dogo
Napenda international business ila sielew koziMalengo yana umiza..kasome unacho kipenda..ajira ni kizungumkuti.
#MaendeleoHayanaChama
Mhhh ila kozi yake ciijui nisaidie walau jin tuKasome urubani
CPA cjajua n nn kkSoma Accounting & Finance afu ukifika 2nd yr anza kupiga CPA ukimaliza chuo una GPA above 4 pembeni CPA utatafutwa sana,
Kasome uhasibu.Ni shida ya vijana wengi wa Taifa langu pendwa la [emoji1241] kwani watu tunasoma hadi elimu ya juu lakin bahati mbaya hatujui tunaenda soma nini baada ya kuhitimu sana sana kwa masomo mageni kama economics accountancy na masomo mengine ambayo ndo tunatakuta elimu ya juu
Dah kwa bahati mbaya huu mtego haujajiacha salama nimejaribu kusoma literature review nikapata majina ya kozi nyingi sana na vyuo ila mpaka sasa sijui kozi ipi niisome
Kwanza niehitimu kwenye tahasusi ya EGM na napenda sana masuala ya odditing bank na industry work ila sijui kozi gani itanisaidia kufika huko ninapo patamani
Naombeni msaada wa ushauri hata kama ni kwa njia ya maswali itapendeza
Soma diploma ya Ualimu utakuja kunishukuruNi shida ya vijana wengi wa Taifa langu pendwa la [emoji1241] kwani watu tunasoma hadi elimu ya juu lakin bahati mbaya hatujui tunaenda soma nini baada ya kuhitimu sana sana kwa masomo mageni kama economics accountancy na masomo mengine ambayo ndo tunatakuta elimu ya juu