Msaada: Kiuno kinauma sana

Msaada: Kiuno kinauma sana

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,307
Habari za wakati huu ndugu zangu,

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30+ ila bado sijaoa kabisa, nimekua nikipata sana maomivu ya kiuno na saa nyingine yanafika hadi kwenye hii mishipa ya mapaja nikijaribu kujinyoosha nyoosha nahisi maomivu.

Nimeenda hospital nimeambiwa sina tatizo zaidi ya kupewa dawa za kupaka na kushauriwa kufanya mazoezi ya viungo.

Kiukweki nazingatia sana mazoezi japo bado maumivu yako pale pale ndugu zangu na wakati mwingine nikisimama zaidi ya nusu saa na hisi maumivu na nakua kama nimewekewa mzigo kwenye kiuno.

Naombeni msaada na ushauri wenu ndugu zangu.
 
Oa 😅😅😅

Tafuta mafuta ya karafuu au habbat soda ufanyiwe nayo massage
 
Unafanya shughuli gani, ushawahi pata ajali, ujanani mwaKo umefanya saana ngono, (ile ya kkupitiliza, na kila sho unasimamia ukkucha), je vipi sio mtu wa punyeto saana, ile kwa siku unapiga vitatu, kwa wiki zaidi ya mara 10+?
 
Pole sana kwa changamoto inayokukumba lakini kwa msaada zaidi tunaomba kujua
1.Unafanya shughuli za kukaa muda mrefu au la?
2.Ni kiuno tu kinauma au kuna sehemu yoyote ya joint unasikia maumivu
3.Tofauti na dawa za maumivu ni dawa za aina gani ushatumia(kama una majina au picha zake tafadhali)
4.Maumivu yanakuwa makali zaidi wakati gani ukilala,ukitembea au ukikaa??
Mimi naumwa kiuno sana nikisema mama Zaid ya dk 10 na pia knikitembe mwendo kidogo tu wakati wa kupumzika nahisi maumivu makali kama nimewekewa mzigo au kina usaha kwa ndani

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tumia tu Hedex za 300 ,, utakuja kunishukuru au Tramadol 2 usiku
 
Back
Top Bottom