Msaada: Kituo cha kurudia mtihani kidato cha sita kwa Dar

Msaada: Kituo cha kurudia mtihani kidato cha sita kwa Dar

whatsapp://send?text=*Nafasi mpya za kazi zinapatikana. Ingia* Jikwamue! *kuangalia. Pia usisahau kujiunga kwa SMS ili upate ujumbe kila nafasi mpya inapotoka. Kujiunga ni bure!* *TAFADHARI SHARE IWAFIKIE NA WENGINE*
 
naomba kuuliza hapo mwanza , kama kuna kituo hakuludia mtihani kidato chasita na wanaanza lini?
 
HApana mkuu juzi nilienda ila nlichoambiwa kilikuwa maumivu yaanu gharama ya kituo ni 100,000=/ bado masomo ya placticals kila moja ni 25,000/= sasa jumlisha hapo ...wakati mimi mfukoni nina 45,000/=tuu ya kianzio
Elimu gharama sana siku hizi
 
HApana mkuu juzi nilienda ila nlichoambiwa kilikuwa maumivu yaanu gharama ya kituo ni 100,000=/ bado masomo ya placticals kila moja ni 25,000/= sasa jumlisha hapo ...wakati mimi mfukoni nina 45,000/=tuu ya kianzio
45,000 kituo hupati mkuu
 
HApana mkuu juzi nilienda ila nlichoambiwa kilikuwa maumivu yaanu gharama ya kituo ni 100,000=/ bado masomo ya placticals kila moja ni 25,000/= sasa jumlisha hapo ...wakati mimi mfukoni nina 45,000/=tuu ya kianzio
Sasa kama unataka science lazma ujiandae kisaikolojia
 
habari wakuu


Naombeni mnisaidie kituo cha kujiandikisha cha kurudia mtihani wa kidato cha sita (ACSEE 2018)

Kilichopo hapa dar es salaam tofauti na AZANIA SECONDARY SCHOOL.


ntashukuru sana kwa msaada wenu.
Nenda Kibasila pale kipo pia
 
nadhani muda wa kujiandisha kwa private candidates umeisha lakini sina uhakika sana
*virgin boy*
 
Azania ni shule ya wavulana tu mkuu umehamia dar juzi nini

Mkuu Mimi nimesoma Azania olev ila naweza kumtetea Huyu jamaa maana Azania iliwah kuwa shule ya mchanganyiko miaka ya 2005 kama sijakosea
 
Back
Top Bottom