miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Habari zenu wapendwa?
Naombeni ujuzi kutoka kwenu toka juzi naskia Kuna kitu kinacheza tumboni upande wa kushoto Yani kinacheza kwa nguvu Kama vile mtu ananikanyaga kwa ndani sasa leo kipindi naskia nikawa naangalia tumboni upande unaocheza panacheza Hadi unaona kwa nje ya tumbo tumbo nalo linacheza yani sasa sielewi hii hali inasababishwa na nini na wakati Sina hata mimba, naombeni mwenye utaalamu hapa.
Anisaidie ili nipate mwanga kwenye hili.