Wakuu Habari.
Mwenye nakala laini (soft copy) ya kitabu cha mawasiliano serikalini anisaidie please. Hasa ile ya hivi karibuni au namna yoyote naweza pata contacts za ma RAS na DE Tanzania nzima.
Asante
Ingia website ya Serikali utapata, tafuta kitu Government Directory ndio hicho kitabu. Otherwise contact za Ma ras ni ras.mkoa@tamisemi.go.tz mf. ras.arusha@tamisemi.go.tz
Kupitia hiyo utawapata wakuu wa mikoa na makatibu tawala wote.
Wakurugenzi pia wanapatika kwa mfumo rahisi vivyo hivyo na ziko live 24/7