Msaada Kitaalam kuhusu Endometriosis

Msaada Kitaalam kuhusu Endometriosis

Teflonomicss

Senior Member
Joined
Apr 13, 2020
Posts
150
Reaction score
177
Hello Wandugu,

Sorry ni mara yangu ya kwanza kuandika hapa so ntaomba radhi kama kuna namna ntam bore mtu Recently nimegundua rafiki yangu ana tatizo la endometriosis yaan nimeshindwa cha kufanya. Sana sana ninaomba kuelimishwa kuhus process za IVF pamoja na gharama

N:B Endometriosis - Ni wakati mwanamke akiwa katika siku zake, ndipo madhara hujitokeza katika mishipa ya ukuta wa mji wa uzazi na damu hiyo ya hedhi kumwagika nje ya mishipa hiyo,” Hivyo madhara yake huathiri maeneo yote ya mishipa ya uzazi yaani fallopian tubes, uteras na mji wote wa uzazi na hii inaweza ikapelekea mpaka tatizo la ugumba.

IVF (In vitro fertilisation) - Ni taratibu zinazotumika katika utungaji wa mimba Wakati wa IVF, mayai yaliyokomaa hukusanywa (kutolewa) kutoka kwa ovari na kurutubishwa na manii kwenye maabara. Kisha yai lililorutubishwa (kiinitete) au mayai (kijusi) huhamishiwa kwenye mji wa mimba. Mzunguko mmoja kamili wa IVF huchukua karibu wiki tatu.

Thanks in Advance
 
Wanakuja Kukupa msaada.
Mpe pole rafikiyo.
 
Kwa Bongo sijui kama hii ishu inawezekana ndo maana bashite aliwahi mbelee...!!
 
Je alishawahi jaribu matibabu ya kutumia dawa kama Luprodex...????
Sijajua kuhus matumiz ya dawa kwa sababu kutokana na maelezo yake hii kitu imemuanza toka form 2 ila me ndo nimekuja kugundua jana
 
Sijajua kuhus matumiz ya dawa kwa sababu kutokana na maelezo yake hii kitu imemuanza toka form 2 ila me ndo nimekuja kugundua jana
Duuh pole yake..!! Hiyo dawa huwa inapunguza level ya hormone ambazo kwa kiasi kikubwa husababisha hii hali kutokea.
 
Duuh pole yake..!! Hiyo dawa huwa inapunguza level ya hormone ambazo kwa kiasi kikubwa husababisha hii hali kutokea.
Basi ngoja nimshikirishe hili halaf tuanzie hapa
Thanks bro yu the best [emoji1421]
 
Back
Top Bottom