SyntaxReaper
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 364
- 294
Mwache akae bwana, Maisha hayana formula hata yeye hapendi kupanga ni hali tu imegoma. Mvumilie Mungu atakulipa.Habarini wakuu
Naomba msaada kisheria a mawazo badala kuhusu mpangaji wangu,mnamo mwaka Jana kuna kijana alipanga Chumba nyumbani kwangu,mm sikuwepo wakati huo(nilikua mkoa mwingine kikazi)hivyo mke wangu aliniwakilisha lkn alifanya uzembe wa kutomsainisha mkataba yule mpangaji,japo aliwela records pembeni kuwa mkataba wake unaisha may 10 mwaka huu.
Tatizo lililojitokeza ni kwamba tangu January mhusika hajalipa umeme wala maji na tulimvumilia kuwa atalipa kwa sababu alikua analia hali ngumu,na tukawa tumeamua tusirenew mkataba nae tn,lkn cha kushangaza Leo wkt mke wangu hayupo amejidai kuaga kuwa anasafiri,namba zetu anazo lkn ameaga wapangaji wenzie na mkataba unaisha may 10,naomba ushauri wa hatua za kuchukua na hakuna mkataba.
Mbona kanisani tunapeleka pesa ambako Mungu yupo.hio ni biashara inabidi apige kufuri agomboe vyombo.Mwache akae bwana, Maisha hayana formula hata yeye hapendi kupanga ni hali tu imegoma. Mvumilie Mungu atakulipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri huko anakoenda arudi tena?Habarini wakuu
Naomba msaada kisheria a mawazo badala kuhusu mpangaji wangu,mnamo mwaka Jana kuna kijana alipanga Chumba nyumbani kwangu,mm sikuwepo wakati huo(nilikua mkoa mwingine kikazi)hivyo mke wangu aliniwakilisha lkn alifanya uzembe wa kutomsainisha mkataba yule mpangaji,japo aliwela records pembeni kuwa mkataba wake unaisha may 10 mwaka huu.
Tatizo lililojitokeza ni kwamba tangu January mhusika hajalipa umeme wala maji na tulimvumilia kuwa atalipa kwa sababu alikua analia hali ngumu,na tukawa tumeamua tusirenew mkataba nae tn,lkn cha kushangaza Leo wkt mke wangu hayupo amejidai kuaga kuwa anasafiri,namba zetu anazo lkn ameaga wapangaji wenzie na mkataba unaisha may 10,naomba ushauri wa hatua za kuchukua na hakuna mkataba.
Una miaka 42 bdo unaishi kwa mama,huwezi elewa,Bora ungepiga kimya broo[emoji1]Mwache akae bwana, Maisha hayana formula hata yeye hapendi kupanga ni hali tu imegoma. Mvumilie Mungu atakulipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ttzo la waafrika,mtu akidai chake mnadhani roho mbaya,nakusikitikia.Unafikiri huko anakoenda arudi tena?
Au Ni roho mbaya tu kwako. Wenye nyumba muda mwingine mnazingua. Leo tarehe Ishirini...Bado siku 20 mbele unaanza kulia Lia hapa.
Uchumi umembana.Mvumilieni.Habarini wakuu
Naomba msaada kisheria a mawazo badala kuhusu mpangaji wangu,mnamo mwaka Jana kuna kijana alipanga Chumba nyumbani kwangu,mm sikuwepo wakati huo(nilikua mkoa mwingine kikazi)hivyo mke wangu aliniwakilisha lkn alifanya uzembe wa kutomsainisha mkataba yule mpangaji,japo aliwela records pembeni kuwa mkataba wake unaisha may 10 mwaka huu.
Tatizo lililojitokeza ni kwamba tangu January mhusika hajalipa umeme wala maji na tulimvumilia kuwa atalipa kwa sababu alikua analia hali ngumu,na tukawa tumeamua tusirenew mkataba nae tn,lkn cha kushangaza Leo wkt mke wangu hayupo amejidai kuaga kuwa anasafiri,namba zetu anazo lkn ameaga wapangaji wenzie na mkataba unaisha may 10,naomba ushauri wa hatua za kuchukua na hakuna mkataba.
Ndo ttzo la waafrika,mtu akidai chake mnadhani roho mbaya,nakusikitikia.
Ungesoma vizuri uzi kabla kukurupuka kuquoteSiyo tatizo la mwafrika kuna baadhi ya wenye nyumba huwa mpo kama hamjawahi kupita bondeni
Yaani huwa mnajifanya kama maisha yenu yooote mmekuwa kileleni.
Kuna vitu vya kusamehe na wala sijaona ukorofi wake.
Ameona mambo magumu akajikataa kiume.
Watu wanaacha familia itakua chumba.
Ungesoma vizuri uzi kabla kukurupuka kuquote