msaada kioo cha tv

msaada kioo cha tv

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
13,369
Reaction score
30,011
wadau msaada kwa anaejua wap ntapata kioo cha ndan cha tv kimepasuka ni samsung lcd na wino umevia ndani! so kwa anaejua wap ntapata na bei yake ntashukuru sana
 
Hujafafanu vizuri ni nchi ngapi nna maana ya saizi?
 
Back
Top Bottom