Msaada king'amuzi gani kinafaa kati ya izi???

Msaada king'amuzi gani kinafaa kati ya izi???

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,466
Wana jamii forum naombeni msaada,nahitaj kununua kin'gamuz sasa sijajua kipi ni kizur zaidi(exluding dstv),yaan kati ya zuku,easy tv,easy tv,star times,digitek,continental nk,niliuza easy tv nilisikia inasumbua siku iz though niliwah ckia wapo vzur,nisaidien wadau kwa hili.....
 
Nunua kama vitatu hivi then utachagua kipi kitakufaa!
 
Mm ni mwanafunz ndo natak nipange gheto so natak niangalie kip kitafaa,achen majibu ya shombo ---- make zenu nyie,mnafirwa nn,kam hamuwez jibu mnaingiza mikundu yenu hum iweje?,---- you alll..dada wew haupo uliyenijibu mwanzo nilikuw natumia mm,ndo natak numua kwa mar ya kwanzw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom