yilima jerad
Member
- Jan 16, 2016
- 59
- 25
Nimehakisha zote zipo sawa ila bado tatizoJiridhishe kama pini za cable ziko sawasawa.
Okey naweza kufanyaje ili kirudie hali yakekama ulikuwa hukitumii lazima iwe hivyo
Okey ntawapigia kakaUlikua umeshaanza kukitumia !!?? Wasije kua hawakukifungua maana huwa mpaka vifunguliwe ,piva customer care ya star times ndugu
Unafanyaje kurestor factorRESTORE FACTOR