msaada king'amuzi cha startimes

msaada king'amuzi cha startimes

mayayasilas

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
43
Reaction score
5
nilikuwa naish mwanza kwa kipindi kama miaka kadhaa, na sasa nimehamia Tabra na nmekuja na startimes yangu. Shida ambayo inakuja nikuwa nimefika huku hakionyeshi channel yoyote na nimeenda kwa mawakalaa wao hapa tabora wananiambia mpaka wanifanyie settings flani hivi na bei yake ni kama unanunua kipya.

Nilijaribu na kuwapigia simu customer care yao si nzuri kabisa, wakasema king'amuzi cha Mwanza hakiwezi kufanya kazi Tabora.

Kwa yoyote anayeweza kunipa msaada kwa hili nitashukuru sanaa maana almost wiki ya pili sasa sijui cha kufanya..
 
Tabora ni dvb t2 na mwanza ni dvb t1 hivyo aviwezi ingiliana ushauri tafuta mtu wa mwanza muuzie wewe nunua cha tabora kwa sasa wametoa ofa nunua mpya mkuu
 
kuna mtu alihamia moro toka dar...hakikufanya kazi....ikabidi kununua cha moro...sasa anahamia mbeya je itabidi kununua kingine?
 
Tabora ni dvb t2 na mwanza ni dvb t1 hivyo aviwezi ingiliana ushauri tafuta mtu wa mwanza muuzie wewe nunua cha tabora kwa sasa wametoa ofa nunua mpya mkuu

asante mkuu.. naomba unielezee vizuri kuhusu hiyo offer..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom