DR. MWAKABANJE JF-Expert Member Joined Nov 7, 2012 Posts 1,986 Reaction score 3,151 Dec 11, 2015 #1 Nimetoka safari nimekuta king'amuzi hakionyeshi channels zaidi ya ile ya matangazo nashindwa kuelewa kama ni watoto wamechezea au upepo umeyumbisha channels maana naambiwa ilinyesha mvua kubwa iliyoambatana na upepo, msaada tafadhari!
Nimetoka safari nimekuta king'amuzi hakionyeshi channels zaidi ya ile ya matangazo nashindwa kuelewa kama ni watoto wamechezea au upepo umeyumbisha channels maana naambiwa ilinyesha mvua kubwa iliyoambatana na upepo, msaada tafadhari!
akuhmm JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 583 Reaction score 225 Dec 11, 2015 #2 Lipia. Bando imeisha