Kwa tatizo lako hilo mm kwa upande wangu naweza xema hivi: kila m2 hupenda kufanya bidii ili mladi2 atimize ndoto zake za kimaisha lkn kutimiza ndoto hizo mambo mawili yaweza tokea; eidha kufanikiwa ktk mda mwafaka au kuchelewa kidogo sasa kwako ww lengo lako limechelewa kidogo lkn amin 2 kwamba lipo hivo kubaliana na changamoto hiyo alf ufany mishe nyngn unapo subir wazaz kukamilisha ma swala ya ada KIMSING unaweza enda lkn ukasumbuka sana kwasababu ya ukosefu wa hera! kwahiyo vumilia 2 lkn USIPOTEZE LENGO LAKO MKUU!