Maswali ya mleta thread sio maswali rahisi ni swali analotaka mtu amuandalie planning nzima ya kilimo cha tango sio kitu rahisi interms of muda wa kuandaa na interms of free service,ni sawa na kuandaa business plan. Kwa urahisi chukia abc mtandaoni ila kuandika hapa si suala dogo kama mleta mada anavyolichukulia maana hapo ni mambo ya mbegu,shamba maandalizi,mbolea,madawa,kitalu,huduma shambani,uvunwaji,soko etc