mpndz
Member
- Sep 28, 2011
- 81
- 46
Habari wana JF,
Mimi nina kijana mwenye umri wa miaka 14 na anasumbuliwa na vipele mwilini kwa zaidi ya miezi miwili.
Nilimpeleka hospitali na majibu yakaja kuwa ana fangasi katika damu na kuandikiwa dawa za kumeza griseofulvin kwa mwezi mzima (30days).
Leo ni siku ya 26 lkn bado tatizo liko palepale. Cha kushangaza akioga ama kushika maji vipele vinatokea eneo hilo la ngozi yaan ngozi ikilowa maji.
Nimeona nije kwenu wana JF ili kutafuta msaada zaidi.