Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,649
- 3,162
Sijui kam nina vigezo au lahShida yako nin kupendwa au mapenzi?
Na kama ni kupendwa unavigezo vyakua mume?
Unataka kuowa huyo manzi?
Hapana kaka wala issue sio bundleHuyo ana akili sana. Kama kifurushi umekipigia mahesabu hivyo, Je, unapomteremsha ile nguo ndogo si huwa unampigia mahesabu tosha kuhakikisha umemshiba kabisa hadi njaa itokee tena mwezi ujao?? Bora akuchune hata kwa bundle
Kwa sasa niko kwenye scout ya kutafuta mke bora mkuu ndo maana nakua makini sana kwenye vitu kama hiviPotezea tu mwanangu ,kwan ww hujawahi mdanganya mzazi wako kwamba umevunja achemedes principle shule?tuna Salio brother mambo mengine inabidi uact upofu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kujua ka weye ni kitonga auHapana kaka wala issue sio bundle
Kwanini aliamua kunambia vile wakati si kweli kwamba kaishiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii issue yangu nadhan haiendani nakuhesabu nyanyaHahaha Kuna mambo mengine mwanaume inabidi ujikaushe ili maisha yaendelee ,kuna jamaa yangu mmoja nasikia alikuwa akihesabu nyanya na vitunguu kwa mkewe
Kaka me natafuta mke saiviKabisaa mkuu bila hivo hawa viumbe hamuwezani hata robo
Mtumie kama kiburudisho tu,ila hana sifa ya kuwa mke