Hivi kibali cha uhamisho kutoka kwa katibu mkuu-utumishi hutumwa kwa njia ipi?
Na pia huweza kutumia muda gan hadi kufika? Maana yapata mwezi sasa kibali changu kilitumwa kwa mwajri wangu huku Tanga lakni bado hakijafika hadi sasa.
Mara nyingi hizo barua wanazificha km si uhamisho wa utaratibu yaani June au Dec. Barua kutoka Dodoma hadi Tanga haichukui zaidi ya wiki 2 maximum. Tafuta mtu wa masjala pale umshike mkono atakupa barua