Wataalam naomba msaada hiv dish moja lenye lnb mbili kubwa na ndogo naweza share na mtu kwa kutumia receiver yangu? Je receiver inabidi ziwe sawa? Na ni vitu gani vinahitajika? na connection inafanyikia wapi kwenye dish lenyewe au kwenye receiver (1). Nawasilisha pls