D d7masasi New Member Joined Oct 7, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Oct 10, 2011 #1 Habari wana jamii forum,naomba mnisaidie key za usb disc security.
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,030 Reaction score 6,275 Oct 11, 2011 #2 Acha uvivu mkuu, unajaza thread bure tuuu. Kila mtu akianza kuomba key hapa si jukwaa zima litachafuka? Huyo atakayekupa unadhani kwamba yeye ndo amei design hiyo software?!! Kila kitu kipo kwenye internet mheshimiwa. Nenda hapa utaipata hiyo software USB Disk Security 5.4.0.6 + Serial-[HB] (download torrent) - TPB au hii USB Disk Security 6.0.0.126 + Crack - Team MJY MovieJockeY.CoM (download torrent) - TPB
Acha uvivu mkuu, unajaza thread bure tuuu. Kila mtu akianza kuomba key hapa si jukwaa zima litachafuka? Huyo atakayekupa unadhani kwamba yeye ndo amei design hiyo software?!! Kila kitu kipo kwenye internet mheshimiwa. Nenda hapa utaipata hiyo software USB Disk Security 5.4.0.6 + Serial-[HB] (download torrent) - TPB au hii USB Disk Security 6.0.0.126 + Crack - Team MJY MovieJockeY.CoM (download torrent) - TPB