Mgalatasalai
Member
- Jan 23, 2013
- 8
- 4
habari zenu wakuu.
Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata.
Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku apply kazi ya ubaharia.
Watchout baba wengine ni Pirates hapa wanazuga kama Jack Spallow
Kwanza Ubaharia ni Kozi gani?
Nijuavyo mm kuna kozi kama za Marine Engineering hivi, Marine Transportation(Deck),Cardet nk. Sasa hii kozi unayoisema inanipa tabu kidogo.
Anyway Ukimpata Olekashe ama Katandula watakushauri vizuri.
Siamini kama umetafuta kazi vya kutosha, Tatizo lako unataka uanze na dola 2000 au 3000 ezIF unexperience. Umekomaa na Dar kwa nini usiende Mwanza/Kigoma au Kyela?
Af vitu vingine inashangaza mikazi imejaa Mtwara kwenye Gesi kule umekaaa Dar, we unadhani nani anayeweza kufanya kazi kule kama siyo mtu wa marine???
Ni PM nikupe maujuzi dogo
Mtafute leMutuz ni member humu JF

Habari Zenu Wakuu Nimesomea Custody Transfer for oil and Gas. Pamoja na Pipeline System across the country Nina Certificate zinazoniwakilisha, naombeni Nafasi ya Internalship PlzWasiana nami kwa pm nikipe email address yangu utume vyeyi vyako ok
Chuo gn umesomea??level??compl yr??Habari Zenu Wakuu Nimesomea Custody Transfer for oil and Gas. Pamoja na Pipeline System across the country Nina Certificate zinazoniwakilisha, naombeni Nafasi ya Internalship Plz
mradi wao uliisha labda kama wamepata mwingineTuma cv yako kwenye hii kampuni, wana vi mradi vya hapa na pale hapa Tanzania, www.epcmholdings.com
ule wa ewura ulikuwa kurasini, tanga na mtwaraUpi unaoujua wewe?
Ha ha sina mkuu, mimi niliwafuatilia tuu baada ya kukosa kazi moja hivi walitupiga chini, ndio maana nkamuambia jamaa awacheki wanaweza kuwa na nafasi probablymkuu naomba connection
Una rank gani Mkuu?habari zenu wakuu.
Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata.
Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku apply kazi ya ubaharia.
Mkuu wewe ni BAHARIA kwl?nampataje Katandula,,pleas
Nenda pale masaki mwisho,,uliza jengo la total,,,habari zenu wakuu.