Msaada kazi za Meli(Ubaharia)

habari zenu wakuu.
Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata.

Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku apply kazi ya ubaharia.

Wasiliana nami kwa pm nikipe email address yangu utume vyeyi vyako ok
 
Kwanza Ubaharia ni Kozi gani?
Nijuavyo mm kuna kozi kama za Marine Engineering hivi, Marine Transportation(Deck),Cardet nk. Sasa hii kozi unayoisema inanipa tabu kidogo.
Anyway Ukimpata Olekashe ama Katandula watakushauri vizuri.

Siamini kama umetafuta kazi vya kutosha, Tatizo lako unataka uanze na dola 2000 au 3000 ezIF unexperience. Umekomaa na Dar kwa nini usiende Mwanza/Kigoma au Kyela?

Af vitu vingine inashangaza mikazi imejaa Mtwara kwenye Gesi kule umekaaa Dar, we unadhani nani anayeweza kufanya kazi kule kama siyo mtu wa marine???

Ni PM nikupe maujuzi dogo
 
shukrani ndugu
 
hebu tupe maujanja ya kupata kazi mtwara kwenye gesi mkuu.
 
Wasiana nami kwa pm nikipe email address yangu utume vyeyi vyako ok
Habari Zenu Wakuu Nimesomea Custody Transfer for oil and Gas. Pamoja na Pipeline System across the country Nina Certificate zinazoniwakilisha, naombeni Nafasi ya Internalship Plz
 
habari zenu wakuu.
Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata.

Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku apply kazi ya ubaharia.
Una rank gani Mkuu?
 
Nenda pale masaki mwisho,,uliza jengo la total,,,

Andaa copy za vyeti vyako pamoja na CV ,,

Peleka pale jengo la total ,,
usubiri bahati yako..

Kuna ule mradi wa mafuta toka Uganda ,,kupitia ziwa victoria hadi tanga..

Ambao unasimamiwa na total .

Wanahitaji mabaharia wengi kwa kazi hyo..

Fanya hima peleka maombi BAHARIA,,
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom