Habari zenu wakuu !! Samahani kuna ndugu yangu anatafuta kazi ya kuuza duka , elimu yake ni kidato cha NNE, znauzoefu na kazi hiyo kwa muda wa miaka miwili, anaumri wa miaka 25, ni mchapakazi sana, ila anamtoto. kwa yeyote mwenye anayehitaji au anamtu anamjua anaehitaji naomba ani PM nitamuunganisha naye, aksanteni sana na mungu awabariki sana, msaada wenu ni muhimu kwake.