Msaada katika Usaili wa Security Officer TAA

Hata mimi pia nimeitwa hiyo post ya airport security officer,
Je hivi mnavyovielezea hapa vinanihusu namimi pia au ni vya huyo mdogo wake tu afu mimi nisubiri nianzishe uzi wangu kuulizia hiki hiki?
 
Anzisha Uzi wako maana paper jmamosi kesho kutwa
 
Hata mimi pia nimeitwa hiyo post ya airport security officer,
Je hivi mnavyovielezea hapa vinanihusu namimi pia au ni vya huyo mdogo wake tu afu mimi nisubiri nianzishe uzi wangu kuulizia hiki hiki?
Umeshafika DUCE.

Naona dogo analalamika jina lake halionekani katika namba zilizotolewa waliitwa 1075 kwenye namba zimetoka 879 na zimetoka leo usiku
 
Wakuu leteni mrejesho mlioenda leo huko maswali yalikiwaje.
 
Kwanini huyo mdogo ako asije mwenyewe kuuliza?? Au ni wewe mwenyewe?
 
Ukiangalia profile ya thread zangu utaona miaka ya 2012 niliomba niende kituo kipi baada ya kupata placement sehem mbili tofauti.

Ukiona naulizia interview zangu mwenyewe basi zitakuwa za u director si hizi za chini.
 
Okay,basi mjengee dogo utamaduni wa kujitegemea, graduate anataka kila kitu afanyiwe na kaka? Haipendezi mzee mwenzangu
 
Okay,basi mjengee dogo utamaduni wa kujitemea, graduate anataka kila kitu afanyiwe na kaka? Haipendezi mzee mwenzangu
Mwanaume unamucha ila wa kike unaweza mpoteza anajiandaa kwa upande wake ila JF tuna utamaduni wa kusaidiana ni kisima cha maarifa kuna watu wa kila aina humu.

Jambo linaweza kukushinda ila ukileta humu unatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…