Msaada katika tuta

dsm-dsm

Member
Joined
Feb 23, 2016
Posts
58
Reaction score
9
Nina taaluma ya ualimu ngazi ya cheti yaani daraja la IIIA,miaka 5 iliyopita nilipata ajira baada ya kuhitimu chuo,ila kutokana na matatizo niliyopata ktk kituo changu ch kazi ikalazimu nirudi nyumbani kwa kipindi chote hicho.sasa nifanyeje niweze kuendelea na diploma au kupata ajira upya??
 
Fanya applications ktk Chuo chochote vha uwalimu Na ukasome diploma... Ukiweza soma masomo ya sayansi ukimaliza utaomba kupangiwa kituo au kuajiliwa Na wale wanafunzi wapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…