meralyussufmeral
Member
- Apr 8, 2012
- 29
- 0
Wakuu naomba msaada wenu kwani mimi ninasimu aina ya samsung GT S5830.Mwanzoni ilikuwa na version 2.3.6 ila nilikuja kuizidisha version ya os (jelly bean ya 4.1.1).Na ikawa inafanya kazi kama kawaida ila nilichokuja kugundua kama ukitia headset hazifanyi kazi,na wakati mwanzo ilipokuwa na version ya 2.3.6 ilikuwa ikifanya kazi kama kawaida.Sasa naomba msaada kwa anaejuwa kama ipo sehemu ya kuiset ikawa inafanya kazi aw kuna software inahitajika kutia......AHSANTENI.