Hiyo uchangiwa na device kuwa na Random acess Memory(RAM) kidogo yakuweza ku run hizo apps
Kama device yako ina support MULTITASKs press and Hold Home button afu close all running background apps au install app ambayo inaweza close apps kama fb ambazo mara nyingi zina run kwenye background
Pia consider kuweka SD CARD na baadhi ya apps ziweke huko iwapo simu itakua imejaa
If a problem persists fanya Factory reset