Drjacka92
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 445
- 523
Habari Wakuu.
Mimi ni muajiriwa Katika serikali, laikini nataka nijikite kweye Kilimo Cha Mpunga huko Turiani mkoani Morogoro, na Kwakuanzia nataka nilime Hekari mbili,. Kiukweli nataka nizisimamie kikamilifu, sasa naomba Msaada Katika haya:-
1.Mbegu gani ni bora zaidi Ili niinunue.?
2.Ni kiasi gani cha mbegu kinatosheleza kwa Hekari 2?
3.Kama kunahitajika Madawa, ni Madawa gani?
Pia Kama kuna nyongeza ya jambo lingine lakuboresha zaidi naomba nisaidiwe, au Kama kuna Notes zozote ambazo unaweza kuniatachia ili nizisome ni vizuri Pia.
Natanguliza shukrani Zangu, natumai nitapata mambo mazuri yakujenga zaidi.
Akhsante.