Msaada Katika Installation Ya Linux Mint Cinnamon

Msaada Katika Installation Ya Linux Mint Cinnamon

NEMEZIZ

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
563
Reaction score
337
Habari za muda huu wanajamvi wa jukwaa hili.
Nielekee moja kwa moja kwenye tatizo nililokumbana nalo kwenye kufanya installation ya OS ya Linux Miny Cinnamon 18. nilikwama hapa kwa sababu nataka mafiles na documents zangu zilizopo kwenye Window 10 yabaki na japokuwa nimepiga partition 2.
4b39bd6efdbf0eecd2dad49ec67b813a.jpg
 
kwanza nakupongeza kwa kuwa Muoga then

  • je una partition ngapi katika pc yako?
  • iyo linux umeweka katika partition ipi?
  • mafiles yako yapo partition ipi?

then ushauri kipindi nikisubiri majibu

kama unataka kupiga dual boot kwa LINUXOS yeyote jaribu kutengeneza partion ya peke yake alafu iwe unallocated(not active)

then wakati wa kupiga iyo linux changua partion ambayo iko unallocated then proceed hii njia salama na utakuwa safe:
 
Mkuu nina partition 3
7c6778b637492fda0b4b3e9777bc8516.jpg
6489015a3a0a2350a9add06a8c9b54b1.jpg

nataka niiweke kwenye partition mpya ila ndio nimekwama kutokana na hili la kutaka kubakisha mafile yangu,nilijua kuwa kama nikiweka Linux tuu pekee yake kwenye hii mashine lakini wakanipa hii option ya kuwa huwezi kubakisha kitu mpaka uformat izo partition zote [emoji22][emoji22][emoji22]
 
HAPANA,, Soma reply yangu ya juu vyema ndugu sio lazima kufutika files zako ukiwa unaistall iyo LINUX bali

elewa hapa chini concept ya kuformat partition
ukiwa unistall OS ya linux lazima partition au disk nzima iwe formatted kufuata format ya LINUX FILE SYTEM(ext2, ext3 and ext4)

so hapo kwa kesi yako ni kwanza kama uliselect disk nzima utapoteza data zako kwani itafuta kila kitu ila kama uliselect partition basi iyo partition itafutika na data zake

NINI CHA KUFANYA

naona una partition 3 but hazina space so sidhani kama zoezi lako litafanikiwa ila kama unataka kweli basi fanya hivi

  • katika iyo LOCALDISK D Hamisha files zote weka unapojua wewe then
  • format iyo LOCALDISK D na delete kabisa in disk management
  • baada ya kuformat na delete iyo disk itakuwa UNALLOCATED then
  • boot sasa iyo linux kuinstall then
  • kwenye kuchagua partion chagua something else(see picture)
  • select-linux-mint-18-installation-type-png.699239
  • baada ya hapo click next
  • alafu mbele click on free space then install itajipita partition zake /HOME/VAR/SWAP etc
  • create-home-partition-during-linuxmint18-installation-jpg.699241

  • THEN ENDELEA STEP ZINAZO FUATA
 
Mkuu kwa bahati mbaya hizo picha hazijafunguka mpaka saiv nimekwama nimeshafuta ile partition na imekuwa unallocated
 
Mkuu kwa bahati mbaya hizo picha hazijafunguka mpaka saiv nimekwama nimeshafuta ile partition na imekuwa unallocated
Sasa baada ya hapo install hiyo mint kawaida itakwenda yenyewe automatic kwenye unallocated disk
 
Sasa baada ya hapo install hiyo mint kawaida itakwenda yenyewe automatic kwenye unallocated disk
Mkuu Tayari nimeshajaribu na nakupa mrejesho wa Linux mint ilikamilika lakini chakushangaza baada ya ku-restart haikukamilika kabisa na nikaendelea tena kuiboot lakini bado hola sasa hivi haikai
 
Usifanye chochote kabla ya kufanya backup hizo data zako, unacheza na moto.
Mkuu kwa hapa nilipofikia naona nina wasiwasi maana nilishakubali kupoteza data zangu nashangaa nimekamilisha installation lakini mint haikuingia kwenye PC maana nilichagua pale pa something esle au unipe ujuzi pale pana ifanya iwe dual boot au ibaki Linux Mint tu.Lakini mi nilikuwa napendelea ibaki Linux pekee
 
uliulizwa kuhusu GRUB LOADER??/ i hope hukuinstall GRUB LOADER ambayo ina manage iyo LINUX kwenye booting
 
Back
Top Bottom