Salami wakuu...
Poleni kazi,ebana ninasimu hapa H6 mpya tu,nilimpatia ndugu yangu aitumie lakini ameitumia siku yakwanza kwa kupiga picha ilikuwa vizuri tu,lakini siku iliyofuata alijaribu kupiga picha haikukubali yaani akifungua tu inaaandika "can't connect to camera"
Kama inavyosema kwenye picha hapo chini.