Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,270
- 6,339
Hapa Tanzania kwa mwaka 2020/2021 HAIWEZEKANIHusika na mada tajwa hapo juu, nina mdogo wangu ana ufaulu tajwa hapo juu, je anaweza pata chuo cha kusomea shahada ( bachelor degree)?
Tafadhali wajuzi wa mambo nisaidieni. Maana guide ya tcu inasema minimum entry ni 4.0. Je kama haipo deploma anaweza pata?
Dah,Mkuu huyu mtafutie Diploma. Hana minimum admission criteria kwa Degree pgms
Kila course na chuo, kina mchanganuo wakeDah,
Diploma utaratibu ukoje mkuu, na ada yao ikoje?
Fuatilia NACTEDah,
Diploma utaratibu ukoje mkuu, na ada yao ikoje?
Ook mkuu.Fuatilia NACTE
Shukran sana mkuu.Diploma ya Electrical Engineering pale DIT....thank me later.
Shukran mkuu. Vip bodi ya mikopo wanafadhili watu wanaotaka kusoma diploma?Diploma ya Electrical Engineering pale DIT....thank me later.
Hapana mkuu , bodi inafadhili kwa ngaz ya degree pekeakeShukran mkuu. Vip bodi ya mikopo wanafadhili watu wanaotaka kusoma diploma?
Shukran mkuu.Hapana mkuu , bodi inafadhili kwa ngaz ya degree pekeake
inawezekanaVipi mkuu bodi ya mkopo inafadhili Wanafunzi wanaosoma vyuo vya private?
Ana three ya 16 (Physics -E, Chemistry- S, A/maths- E. Je anaweza pata chuo cha kusoma Bachelor Degree?
Husika na mada tajwa hapo juu, nina mdogo wangu ana ufaulu tajwa hapo juu, je anaweza pata chuo cha kusomea shahada ( bachelor degree)?
Tafadhali wajuzi wa mambo nisaidieni. Maana guide ya tcu inasema minimum entry ni 4.0. Je kama haipo deploma anaweza pata?
Hapana, hawezi soma degree!! Aanze diploma au akasome foundation programme ya OUT then akifaulu atasoma degree. Vyuo vyote Tanzania iwe private au government vipo chini ya TCU.Na vipi kama amepata DES ya hkl hawezi kupata chuo cha private degree?