Electronics zipi?? Be specific
Suala la Designing ya electronics ni changamoto sana. Wengi hu practice vitu ambavyo ni ready made. Eg. Unatafuta mchoro wa amplifier halafu unatengeneza.Mkuu nimesoma basic electronics kwa flow hii
1. Flow of electricity
2. Resistors
3. Capacitors
4. Inductors
5. Transducers
After hapo nikasoma semiconductors {doped na undoped}. Diode. Transistors ( as switch, amplifier and oscilator ). Pia nimesoma ( Operation amplifier na Digital ikiwa ni binary numbers na logic gates).
Sasa kutokea hapo nataka kujiendeleza na Integrated Circuits na jinsi ya kudesign electronics circuit
Nimekuelewa sanaSuala la Designing ya electronics ni changamoto sana. Wengi hu practice vitu ambavyo ni ready made. Eg. Unatafuta mchoro wa amplifier halafu unatengeneza.
LInapokuja suala la Designing ni gumu kwa sababu linaanza at a very low stage with Raw Idea. Kama utaunda Device lakini ukatumia IC ambayo ipo tayari programmed sidhani kama utakuwa umeunda.
Kama upo competent kwenye hizo mada tajwa basi upo vizuri we jitahidi uanze kufanya integration ya Subsystems mbalimbali kupata a full function Device
Nilikuwa natafuta hardcopy mkuu