Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
Habari za kazi wakuu...
Nitumie Umeme wa Solar au wa Jenereta??
Samahanini naomba ushauri juu ya mada tajwa hapo juu ;
Kama ni SOLAR;
Vipi gharama yake ipoje hadi ufungaji wake
#Nb ; Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kawaida tu kwa chumba kimoja tu!! kipindi ntakapokua nafanya kazi kijijini mf;mwanga usiku,,Radio,,Kuchaji vitendea kazi simu,,Laptop...
>>Je ni kweli umeme wa solar huaribu mabetri mfano ya simu n laptop??nmekua naskia ivyo...naomba kufahamishwa....zaidi juu ya hilo
GENERETA;
naomba msaada wenu kufahamu ni Aina nzuri za Majenereta yenye ubora unaokidhi Kuzalisha umeme wa kawaida tu na Bei zake...Ulaji wake wa mafuta...n.k
Nb;Nahitaji yale #madogo tu yenye nguvu ITAKAYOFAA KUZALISHA UMEME KWA AJILI YA ROOM MOJA TU KWA MATUMIZI YA KAWAIDA KAMA MWANGA USIKU,Radio,KUCHAJIA SIMU,,na LAPTOP..pindi nitakapokua kijijini nafanya kazi..
kwa kipindi hichi
>> Kipi kitanifaa SOLAR AU JENERETA??
Natanguliza shukrani zangu kwenu...q