Nimeomba ushauri mkuu sijafananisha.
Chukua nokia simu ngumu.
Ni kweli, nokia simu ya uhakika, samsung hiyo s8 ikidondoka tu machozi maan krek ktk kioo kitakuacha hoi ukitaka kubadiliAngalia matumizi yako.samsung bei ya kioo ni nusu simu. na nokia ndio hatujui.angalia matumizi matumizi yako ndugu.
Mkuu nunua Nokia 6.1 ni simu na uwezo wa chaji kuliko hiyo S8 betri zao huwezi linganisha na Samsung lkn pia Nokia 6.1 ni brand mpya kuliko S8 imekua outdated mkuuNimeomba ushauri mkuu sijafananisha.
Sio kweli kwanza zote ni 3000mah lMkuu nunua Nokia 6.1 ni simu na uwezo wa chaji kuliko hiyo S8 betri zao huwezi linganisha na Samsung lkn pia Nokia 6.1 ni brand mpya kuliko S8 imekua outdated mkuu