good96
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 518
- 537
Habari ya weekend wakuu,
Samahani naombeni mnisaidie kidogo. Nataka kubadilisha kifaa cha mawasililiano na lengo langu ni kati ya Samsung s8 au Nokia 6.1. Kwa wataalam naombeni ushauri ipi kati ya hizo itafaa zaidi.
Matumizi yangu ni ya kawaida kabisa si mtumiaji wa games ni kwa ajili ya mawasiliano, internet na social media. Issue ya budget nimejiridhisha nayo.
Asante ni sana.