Msaada: Kati ya Samsung s8 na Nokia 6.1 ipi ni bora zaidi

good96

JF-Expert Member
Nov 20, 2015
487
1,000
Habari ya weekend wakuu,

Samahani naombeni mnisaidie kidogo. Nataka kubadilisha kifaa cha mawasililiano na lengo langu ni kati ya Samsung s8 au Nokia 6.1. Kwa wataalam naombeni ushauri ipi kati ya hizo itafaa zaidi.

Matumizi yangu ni ya kawaida kabisa si mtumiaji wa games ni kwa ajili ya mawasiliano, internet na social media. Issue ya budget nimejiridhisha nayo.

Asante ni sana.
 

pamjela

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
329
1,000
Chukua s8 km wanazungumzia kioo kupasuka GOrilla ya s8 ni imara zaidi ya hiyo nokia 6.1
na ukizungumzia uwezo wa simu na feature nokia 6.1 imepitwa kila kitu na s8
Hivyo s8 ni bora zaidi kuliko nokia

Labda ungetutajia bei unavyotaka kununua tucompare mana zote ni matoleo ya zamani ingawaje nokia 6.1 unapata mpk na Android 10 wkt s8 yenyewe inaishia android 9
 

pamjela

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
329
1,000
Mkuu nunua Nokia 6.1 ni simu na uwezo wa chaji kuliko hiyo S8 betri zao huwezi linganisha na Samsung lkn pia Nokia 6.1 ni brand mpya kuliko S8 imekua outdated mkuu
Sio kweli kwanza zote ni 3000mah l
Km zote zinatolewa dukani pamoja mpya na zikatumia apps sawa S8 inaiacha mbali nokia 6.1 kwa ukahaji wa chaji
Hivyo usisikilize maneno ya mtaani
Hivi vitu hasa simu zinafanyiwa majaribio then wanakuja na data za uhakika sio za kupika
Hvyo km anapata mpya kabisa kwa zote S8 inakaa chaji zaidi ya hiyo nokia 6.1

S8 imetoka 2017 April
Wakati nokia 6.1 imetoka 2018 may zimepishana miezi 11 tu
hivyo swala la outdated zote ziko outdated tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom