AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Huyu kijana ametaka kunitoa machozi, yani unataka kufananisha the best University in Africa kwenye masuala ya utawala, alaf ukilinganishe na hicho kicollege cha usafirishaji are you serious?
Hivi bongo ni HR gani ambaye sio Alumn Mzumbe basi ujue atakuwa fake kama hatoki mzumbe.
Nenda dogo ukutane na vijana wa Sopam, Sob, Law etc. Nenda kajifunze kwa maendeleo ya watu.
Hivi bongo ni HR gani ambaye sio Alumn Mzumbe basi ujue atakuwa fake kama hatoki mzumbe.
Nenda dogo ukutane na vijana wa Sopam, Sob, Law etc. Nenda kajifunze kwa maendeleo ya watu.