binti kikojozi
Member
- May 14, 2016
- 54
- 19
Salamu. Mwanafunzi kachaguliwa human resource vyuo viwili; mzumbe na NIT. Ushauri a-confirm kipi? Yeye lengo lake ni hiyo HR ila hajui which one is the best between mzumbe and NIT.
MZUMBE iko good sanaSalamu. Mwanafunzi kachaguliwa human resource vyuo viwili; mzumbe na NIT. Ushauri a-confirm kipi? Yeye lengo lake ni hiyo HR ila hajui which one is the best between mzumbe and NIT.
Mkuu kwani NIT ukiingia kwenye profile yako wanaonyesha course uliyochaguliwa????Salamu. Mwanafunzi kachaguliwa human resource vyuo viwili; mzumbe na NIT. Ushauri a-confirm kipi? Yeye lengo lake ni hiyo HR ila hajui which one is the best between mzumbe and NIT.
Salamu. Mwanafunzi kachaguliwa human resource vyuo viwili; mzumbe na NIT. Ushauri a-confirm kipi? Yeye lengo lake ni hiyo HR ila hajui which one is the best between mzumbe and NIT.
😂😂pole mkuu. Mimi pia ni alumni wa MU lakini nataka nimuonyeshe dogo comments ili aamini maneno yangu maana mi nishamshauri nimechoka. Sijui kwasabab ya NIT kuwa town!!? Hata selewi.Aisee kwa kweli umeniumiza moyo sana kulinganisha Mzumbe na NIT kwa HR... Mimi kama alumni wa mzumbe nimeumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si sawa kumuita mtu mwingine mpuuzi kwa kuomba msada. Muelekeze tu inatosha hata wewe na mimi naamini kuna ambayo yanaulizwa hapa hatuyajui. Binti kiziwi-kwenye HR Mzumbe wana record nzuri kabisa na ushindani mkubwa, hivyo kama amepata huko asisite kwenda huko.Mpuuzi wewe. Tanzania hii ni Chuo kipi kinachoweza kushindanishwa na Mzumbe kwenye Human Resource. Ni chuo pekee gwiji kwenye fani hiyo Tanzania. Kwanza NIT siyo chuo kikuu. Hebu jiongeze kidogo.
Salamu. Mwanafunzi kachaguliwa human resource vyuo viwili; mzumbe na NIT. Ushauri a-confirm kipi? Yeye lengo lake ni hiyo HR ila hajui which one is the best between mzumbe and NIT.