AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 679
Habari Wadau,
It was 2017 tuna kula sikuku, huku wafanya kazi wote tulitumiwa email kama hi fatavyo:
Dear Colleagues,
A meeting of all staff will be held on Tuesday, 2nd January 2018. The meeting will be held at the conference room at XX offices on 2nd Floor, Dar es Salaam at 10:00a.m. The agenda of the meeting is to discuss the way forward for XXX. Your attendance is mandatory. Please be punctual.
Kindly confirm receipt of this email by replying back to me and keeping BOSS on a CC.
On behalf of the Management
KIBARAKA WA BOSS
===================
Watu tuko likizo hatu kualewa kulikoni? anyway tarehe 1/01/2018 sikuku mwaka mpya tarehe mbili kazini tukaenda kwenye hiko kikao basi kilicho fata tuka ambiwa company xx inafungwa hali ngumu na kadhalika basi tuka ambiwa kua tusijali staiki zetu wote tutazipata wote tusijali yani leave, mishahara yetu na pension. ila mwisho wa ajira ni 31march 2018, so tuna miezi mitatu tuh kazini.
Tukapewa na barua kua inasema hivyo kua mwiisho ajira ni 31 march. swali langu je kuna kulipwa chochote yani kiinua mgongo kama company inafungwa? ila jama tume kuja kushituka ni waongo wanatukata leave na wanataka tuzitumie kabla kufikia 31march na wanadai leave hulipwi mpaka uzitumie. please advise je kuna ulakini hapo