Nipe jinsi ya kufanikiwa ndugu huo ni msaada toshaMimi nafahamu jinsi unavyoweza kufanikiwa ila sifanyi kazi RITA
Nenda RITA utapewa utaratibu wote na utaenda safari yako
Nimeenda rita ila wameniambia nisubiri mpaka tarehe niliyoandikiwa kuchukua cheti ndio maana nahitaji msaadaNenda RITA utapewa utaratibu wote na utaenda safari yako
Hujui laws of the jungle? Hivi kweli shida kama hii unaipost hapa hata kama kuna mtu anayeweza kufanya short-cut atathubutu kujitokeza? Au unafikiri bado tuko zama za Kikwete?Habari zenu
Nina shida pale RITA makao makuu, naamini ntapata msaada hapa, nahitaji cheti cha mtoto as soon as possible, na tarehe walionipa ya kuchukua ni next month wakati najitaji kusafiri wiki ijayo na mtoto atahitaji passport, bila cheti siwezi kupata passport
Nimejaribu kufatilia zaifi ya mara tatu nimeeleza uharaka ila sijafanikiwa
Mwenye kuweza kunisaidia nikakipata kabla ya alhamisi nitashukuru
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda immigration makao makuu utaelekezwaNimeenda rita ila wameniambia nisubiri mpaka tarehe niliyoandikiwa kuchukua cheti ndio maana nahitaji msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu imebidi nieleze shida ili.mwenye nia aje pm na sio ajitangaze hapaHujui laws of the jungle? Hivi kweli shida kama hii unaipost hapa hata kama kuna mtu anayeweza kufanya short-cut atathubutu kujitokeza? Au unafikiri bado tuko zama za Kikwete?
Nimeenda rita ila wameniambia nisubiri mpaka tarehe niliyoandikiwa kuchukua cheti ndio maana nahitaji msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya hivyo ninavyokuelekeza utapata passport ndani ya siku mbili
Habari zenu
Nina shida pale RITA makao makuu, naamini ntapata msaada hapa, nahitaji cheti cha mtoto as soon as possible, na tarehe walionipa ya kuchukua ni next month wakati najitaji kusafiri wiki ijayo na mtoto atahitaji passport, bila cheti siwezi kupata passport
Nimejaribu kufatilia zaifi ya mara tatu nimeeleza uharaka ila sijafanikiwa
Mwenye kuweza kunisaidia nikakipata kabla ya alhamisi nitashukuru
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataogopa kwa sababu hajui wewe ni nani na una nia gani! Au umekaa sana nje ya Tanzania na kusahau kanuni za kufuatilia document Bongo? Mambo kama haya unayamalizia hapo hapo. Unatakiwa uwe mjanja wa kuongea na watu.Mkuu imebidi nieleze shida ili.mwenye nia aje pm na sio ajitangaze hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda RITA na document zote za mtoto ukifika unaonana na mhusika au secretary wa pale mwambie unakihitaji Leo Leo cheti wanakutengenezea na kinawekwa mbele kupelekwa kwa boss ili kisainiwe ila uwe na elfu30 mkononi hivihivi utakipata zaidi ya hiyo 2weeksNimeenda rita ila wameniambia nisubiri mpaka tarehe niliyoandikiwa kuchukua cheti ndio maana nahitaji msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo fifty alilipia wapi thats waht am talking about ninachohitaji ni chetiMbona inawezekana kupata siku moja wiki iliopita ndugu yangu kapata siku moja tu cheti ila alilipa fifty
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningeweza kukuunganishia direct lakini naogopa unaweza kumuharibia mtu kitumbua chake. Elfu30 tu unaondoka nacho siku hiyo hiyo ukitaka kufuata utaratibu itabidi usuburi folenj
NimekupimNingeweza kukuunganishia direct lakini naogopa unaweza kumuharibia mtu kitumbua chake. Elfu30 tu unaondoka nacho siku hiyo hiyo ukitaka kufuata utaratibu itabidi usuburi folenj