Pole sana nduguKwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa
Kosa ile simu aliyonunua ilipolwa kwa nguvu kutumia siraha na kupora vitu baadhi ikiwemo pkpk, na katka sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye
Wakapelekwa polisi kwa upelelezi badae kesi ikaenda mahakamani wamekaa miezi tisa mmoja wao alitoka wiki mbili zilizopita wakabaki wawili,
Leo ilikua siku ya hukumu naimetokea kama nilivyoeleza hapo juu,
Nmeongea na kaka amelia sana anasema wamefungwa kwa kukosa hela ambapo mwenzao kesi ya pamoja ametoka kwa kutumia pesa
Kwaupande wetu pesa hatuna familia ya kimasikini naomba msaada kama kunautaratibu upi tuutumie kama familia, imeniuma sana kuona kaka anafungwa miaka yoote hiyo.
yuda exalioth
Jamiiforms
geita
Rahisi ni ghali. Ndicho kilichomtokea kaka yako.Kwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa
Kosa ile simu aliyonunua ilipolwa kwa nguvu kutumia siraha na kupora vitu baadhi ikiwemo pkpk, na katka sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye
Wakapelekwa polisi kwa upelelezi badae kesi ikaenda mahakamani wamekaa miezi tisa mmoja wao alitoka wiki mbili zilizopita wakabaki wawili,
Leo ilikua siku ya hukumu naimetokea kama nilivyoeleza hapo juu,
Nmeongea na kaka amelia sana anasema wamefungwa kwa kukosa hela ambapo mwenzao kesi ya pamoja ametoka kwa kutumia pesa
Kwaupande wetu pesa hatuna familia ya kimasikini naomba msaada kama kunautaratibu upi tuutumie kama familia, imeniuma sana kuona kaka anafungwa miaka yoote hiyo.
yuda exalioth
Jamiiforms
geita
Simu huwa zinanunuliwa madukani, iweje yeye anunue kwa mtu mitaani? Pili miaka 30 kwa simu tu haiingii akilini, lazima kuna makosa mengine kama ya ujambazi au wizi huyo kaka yako kayafanya. Refer kifungo cha Sabaya kwa miaka kama hiyo.Kwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa
Kosa ile simu aliyonunua ilipolwa kwa nguvu kutumia siraha na kupora vitu baadhi ikiwemo pkpk, na katka sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye
Wakapelekwa polisi kwa upelelezi badae kesi ikaenda mahakamani wamekaa miezi tisa mmoja wao alitoka wiki mbili zilizopita wakabaki wawili,
Leo ilikua siku ya hukumu naimetokea kama nilivyoeleza hapo juu,
Nmeongea na kaka amelia sana anasema wamefungwa kwa kukosa hela ambapo mwenzao kesi ya pamoja ametoka kwa kutumia pesa
Kwaupande wetu pesa hatuna familia ya kimasikini naomba msaada kama kunautaratibu upi tuutumie kama familia, imeniuma sana kuona kaka anafungwa miaka yoote hiyo.
yuda exalioth
Jamiiforms
geita
Hyo ni kesi ya robbery ndo mana imekuwa 30Simu huwa zinanunuliwa madukani, iweje yeye anunue kwa mtu mitaani? Pili miaka 30 kwa simu tu haiingii akilini, lazima kuna makosa mengine kama ya ujambazi au wizi huyo kaka yako kayafanya. Refer kifungo cha Sabaya kwa miaka kama hiyo.
Simu huwa zinanunuliwa madukani, iweje yeye anunue kwa mtu mitaani? Pili miaka 30 kwa simu tu haiingii akilini, lazima kuna makosa mengine kama ya ujambazi au wizi huyo kaka yako kayafanya. Refer kifungo cha Sabaya kwa miaka kama hiyo.