Kwa nini mkuu?Sijui kwa nini watu mnayafata matatizo kwa gharama namna hii..
What if nikienda kuikagua na fundi wangu na tukapeana guarantees wakati wa kufanya biashara?Itakufia
Possibly. Ndo maana nikaomba experience humu mkuuKwa nini haina kadi?
Hiyo gari ni ya wizi..
Sio gereji mkuu ni yard ya kuzia magari (show room)Unaenda kununua gari gereji?
Itakuwaje kama hiyo gari iliibwa na ikasababisha mauaji na ikakamatwa kwako.Possibly. Ndo maana nikaomba experience humu mkuu
Unataka kununua gar Ila hujui maana ya gari. Jiulize kwann hiyo gar haina kadi? Kadi ya gar nyingine itafananaje na hiyo? Na kama unacheza DILI ya wiz kwann unatangaza humu? Ukitafutwa ukakamatwa ukatakiwa uonyeshe hiyo yard yenye magar ya wiz huoni utamletea mwenye yard matatizo? Kuwa makin na fikir kabla ya kutenda. Nakushaur ufute huu Uzi mapemaSio gereji mkuu ni yard ya kuzia magari (show room)
Hyo card ya x5 iliyokufa unayoitaka wewe zitafanana chasis number na hiyo unayotaka?Natafuta kadi ya gari BMW X5 kwa mtu ambaye gari ilipata ajali (haitengenezeki). Katika pitapita yangu nimekuta yard flani kuna gari BMW X5 inauzwa bei ya kutupwa ila haina kadi wala document yoyote. Muuzaji katoa sharti kuwa ili aiuze lazima uende na kadi ya Gari husika.
Msaada tafafhali.
Ni gari nzuri sana hata ukiona hutapenda kuiacha.
Napokea na ushauri pia.
Of course not. Ninachotaka ni kadi tuHyo card ya x5 iliyokufa unayoitaka wewe zitafanana chasis number na hiyo unayotaka?
Dili ya wizi imetokea wapi? Au unafkr kila mtu ni mpiga dili humu? Kama huna msaada kwa nn usikae kimya tu?Unataka kununua gar Ila hujui maana ya gari. Jiulize kwann hiyo gar haina kadi? Kadi ya gar nyingine itafananaje na hiyo? Na kama unacheza DILI ya wiz kwann unatangaza humu? Ukitafutwa ukakamatwa ukatakiwa uonyeshe hiyo yard yenye magar ya wiz huoni utamletea mwenye yard matatizo? Kuwa makin na fikir kabla ya kutenda. Nakushaur ufute huu Uzi mapema
Ha Ha haa. Thank you anywaysDaah tunatofautiana uelewa unataka kadi ya gari nyungine ya hiyo X 5 iko wapi nenda TRA taja namba za hiyo Be My Wife unayotaka kununua kwa magendo watakuprintia
PoaHachana na hiyo biashara mkuu
Polisi njooni huku kuna muhalifu 100%Natafuta kadi ya gari BMW X5 kwa mtu ambaye gari ilipata ajali (haitengenezeki). Katika pitapita yangu nimekuta yard flani kuna gari BMW X5 inauzwa bei ya kutupwa ila haina kadi wala document yoyote. Muuzaji katoa sharti kuwa ili aiuze lazima uende na kadi ya Gari husika.
Msaada tafafhali.
Ni gari nzuri sana hata ukiona hutapenda kuiacha.
Napokea na ushauri pia.