msaada kabla sijafanya biashara

msaada kabla sijafanya biashara

Kibwagizo

Senior Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
130
Reaction score
8
Kuna mtu anataka kuniuzia mashine za HUAWEI za internet za wireless.Nikitambua kuwa ushauri wako utatokana na jinsi unavyouifahamu na matumizi yake na bei yake ikiwa mpya

MSAADA WENU
 
machine zipi,router ,mobile broadband modem ....?Huawei wana tengeneza machine nyingi mno!
 
Picha hii

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Inasumbua ku-attach picha yenyewe ni HUAWEI fwt

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
una maanisha hii_?? huawei fwt.jpg

Huawei fixed wireless Terminal..1202.Sasa nimeona kama zina tumia cdma technology... itakua ngumu kuuza cdma network hapa ni TTCL au Zantel na wana order direct from Huaweii offices hapa.
Halafu kama huna ujuzi na kuuza networking equipment itakua ngumu zaidi ku pata wateja licha ya hiyo technology ya cdma.
:ballchain:
 
una maanisha hii_?? View attachment 95013

Kama hiyo mkuu, je ili niitumie kwani inahitaji na simu yake? Au matumizi yakoje mkuu
 
una maanisha hii_?? View attachment 95013

Huawei fixed wireless Terminal..1202.Sasa nimeona kama zina tumia cdma technology... itakua ngumu kuuza cdma network hapa ni TTCL au Zantel na wana order direct from Huaweii offices hapa.
Halafu kama huna ujuzi na kuuza networking equipment itakua ngumu zaidi ku pata wateja licha ya hiyo technology ya cdma.
:ballchain:

Kama hiyo mkuu, je ili niitumie inahitaji na simu yake? Au matumizi yakoje mkuu
 
kama iyo modem ni Huawei fwt cdma broadband dial up networking inategemea unataka kuitumia kwa ajili ya data or voice,kama ni data you need router na kama ni voice you must have TTCL Landline but you can use wireless as well.
 
Kama hiyo mkuu, je ili niitumie inahitaji na simu yake? Au matumizi yakoje mkuu

hata mimi ninayo iyo fwt modem nime-connect na simu ya mezani through RJ 11 so natumia network ya TTCL wireless
 
Mkuu nataka nitumie kama data.Na je nahitaji nini na nini niweze kuitumia? Pengine labda naweza kuuziwa bila kuwa na hivyo vitu.Na vipi bei yake ikiwa mpya?
 
iyo modem ikiwa mpya inauzwa 200,000 ili uweze kutumia internet inabidi uwe na router na umpate mtu akufanyie configuration.
 
Naona ina sehemu ya kuingia lain, vipi laini ni lazima?
 
sikushauri ununue iyo modem ni ya kizamani ndo maana jamaa anaiuza rahisi wakati shop ni 200,000 ni bora ununue hizi usb modem kuliko iyo ipo very complicated na itakucost sana kui-operate kuhusu option ya line hapo huwezi kuweka line yeyote ikafanya kazi kwa vile iyo modem tayari ina built-in TTCL line labda ui-unlock na kumbuka iyo modem ni CDMA ku-unlock sina uhakika kama inawezekana.
 
hata mimi ninayo iyo fwt modem nime-connect na simu ya mezani through RJ 11 so natumia network ya TTCL wireless

Mkuu mpaka sasa jamaa mimi nimemwambia kama ulivonishauli, na yeye inaonekana hana idea nayo, nijamaa yangu sana na alikuwa na shida imebidi nimpe 15,000. je kutokana na hiyo bei nimeona nimpe
 
Back
Top Bottom