The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,580
Habari wana JF , nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya uwezekano wa kuhama chuo, nili apply suha lakini nashangaa nimetumiwa email ya admission na chuo cha st.joseph songea, mbali na kozi kua tofauti pia gharama za st.joseph zimeonekana kua kubwa zaidi, majina ya sua bado ayajatoka pia profile langu alijabadilika kitu chochote je kuna uwezekano wa kua nimechaguliwa st.joseph permanent,, na kama ndio je kuna uwezekano wowote wa kuomba mamlaka nihame chuo, natanguliza shukrani nikiamini wanaJF mtanisaidia.

Mi mwenyewe nataka nihame st joseph ila c ni bora kusubir kwanza hayo ya sua km hutakuwepo ndo uanze michakato ya kuhama ila ukianza nishtue ni pm tufatilie wote
st joseph ulkjaza cha ngap....
Nenda OFISI ZA TCU pale uwe umedownload Admission letter to huko ST Joseph songea,kama huna nenda kawaeleze tu.Lakin tambua kuwa bodi ya mikopo ikipelekwa songea itakuwa shida.HATA HIVO,UNAWEZA KWENDA SUA UNAKOTAKA KWAN KUNA JAMAA YANGU MWAKA2009ALICHAGULIWA BCOM UDOM,AKAENDA TCU NA WAKAMPELEKA MZUMBE.DONT WORRY,U LK GO WHERE U WANNA GO.
Songea itajengwa na nani? Kila mtu anaitaka dar.
Natania tu. Nimeboreka
Mi mwenyewe nataka nihame st joseph ila c ni bora kusubir kwanza hayo ya sua km hutakuwepo ndo uanze michakato ya kuhama ila ukianza nishtue ni pm tufatilie wote
huwezi kuhama hapo coz competation ni kubwa xana na pia ww hapo subiri upate mkopo tu ndo utakuwa nafuu kwako kuhama sahau.ila mkopo lazma utapata
Songea itajengwa na nani? Kila mtu anaitaka dar.
Natania tu. Nimeboreka
...it is not simple kuhama chuo...ni ngumu na kuna usumbufu especially kuhamia hivi vyuo vikubwa vya serikali...na pia sio kwamba haiwezekani,,la hasha inawezekana coz kila mwaka watu wanahama...cha kukushauri nenda tcu mapema wanaweza wakakufanyia transfer..(which is not easy unless uende na sababu strong za kutosha)..hiyo ni njia mojawapo bt njia nyingine ni wewe mwenyewe njoo SUA soon baada ya chuo kufunguliwa omba nafasi (hopely huwa wanaacha reserve) na ukipata waoo ndo huwa wanatuma taarifa tcu..bt hii ni rahis kwa non-competitive courses and ni rahisi zaidi kama una mtu unamfaham kwenye cabinet ya registration (kujuanalism)...keep in mind ukifanya transfer pesa ya kujikimu "boom" utaipata semista ya pili kama sio ya kwanza mwishoni and utajilipia ada kwa semista ya kwanza (almost tsh 661500 kwa coz za sayansi na 500000 kwa art course za art na biashara) ambayo utarudishiwa mkopo wako ukifika..gud lucky na karibu sana SUA
bro nime apply sua morogoro, songea wamenipa agrcltr engrng while target yangu n animal science afu songea gharama ni kubwa sana karibu M3 na kidogo
ulisoma mchepuo gan?
Mkuu mie mwenyewe nagombana na mdogo wangu hapa.Amechaguliwa AJUCO Songea MD lakini hataki eti yeye alitaka Nursing ya Muhas kisa tu ipo mjini
vp na ku apply upya next year si inawezekana pia